ABOUT UDOMSSO

The University of Dodoma Sociology Students' Organization (UDOMSSO) is an academic and social organization which is under the department of Sociology and Anthropology in the College of Humanities and Social Sciences.

MISSION

Our mission is to Organize, Coordinate and Facilitate all activities relating to our areas of interest for social progress.

VISSION

UDOMSSO has a vission to become an effective students' organization and to spearhead for a positive community for both academic and social matters which affect students' daily life and the community at large.

Translate

Photos

 10th June 2017

PICHA ZA BAADHI YA WANASOSHOLOJIA WALIPOPANDA MLIMA UDOM-SOCIAL. (click a photo to zoom)














































 



**************************************************************************

10th June 2017

PICHA ZA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAPYA WA UDOMSSO (click a photo to zoom)


















 ******************************************************************************

20th May 2017

PICHA ZA BONANZA LA KUAWAAGA WAHITIMU (click on a photo to zoom)


















 ********************************************************************

 16th May 2017

PICHA ZA WANAFUNZI WA SOCIOLOGY WAKIWA MBELE YA UKUMBI WA BUNGE WALIPOTEMBELEA BUNGENI. (click on a photo to zoom)

 
Baadhi ya viongozi wa UDOMSSO

Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa tatu

Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza

Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa pili



Viongozi wa UDOMSSO


 ******************************************************************************

 29th April, 2017

PICHA MBALIMBALI ZA MKUTANO MKUU WA WANA-SOSHOLOGY

 (Click on a photo to zoom)

Mkuu wa idara akionesha Cheti
Mwenyekiti  wa UDOMSSO (kulia) na Mkuu wa Idara
Mkuu wa Idara akiongea na wanafunzi kwebye mkutano

 
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria kwenye Kikao

Katibu Mkuu wa UDOMSSO Stanley Mellack
Mwenyekiti wa UDOMSSO James Simon
Mkuu wa Idara ya sosholojia ndugu Dr.Ishengoma.


Mkuu wa Idara ya Sosholojia akizindua Blog kwa kuiweka "public"
Mhasibu Msaidizi dada Regina Mariki


Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria


***********************************************************************

 15th April, 2017.

PICHA  MBALIMBALI ZA WANA-SOCIOLOGY WAKIWA ENEO LA HOSPITALI YA MKOA DODOMA SIKU YA KUTOA MSAADA WA VIFAA VYA MATIBABU  NA UCHANGIAJI WA DAMU HOSPITALINI HAPO.
(Click on a photo to zoom
Mshauri wa Damu Salama, Dokta Leah akiongea na wanafunzi wa sosholojia.

                                                    
 Makamu Rais wa UDOMSSO, Joseph Mhava (wa kwanza kushoto)  akiongea neno akiwa na dokta Leah na wanafunzi wengine wa sosholojia.🔻


Katibu wa Hospitali Dr.Issack (kushoto)

Dokta Leah (kushoto) na mwenzake wakiwa na wameshikilia boksi lenye vifaa vya kimatibabu vilivyotolewa na UDOMSSO
Makamu Rais wa UDOMSSO Joseph (katikati) akiwa anafurahia jambo wakati wa uchangiaji damu

Rais wa UDOMSSO Mr.James (kulia) akikabidhi moja ya boksi lenye vifaa vya kimatibabu.
Uchangiaji wa damu ukiendelea.
Baadhi ya wana sosholojia waliojitokeza wakisubiri maelekezo ya utoaji msaada na damu.

  Dokta Leah (aliyesimama) wa kitengo cha damu salama akitoa mafunzo ya uchangiaji wa damu kabla zoezi hilo halijaanza.🔻


 PICHA MBALIMBALI ZA UCHANGIAJI DAMU🔻
Mmoja wa wanas-sosholojia waliochangia damu, dada Jenipher
Mwana-sosholojia, Msafiri Ponera akichangia damu
Gerald Bundala na Jenipher
Msafiri Ponera
Katibu msaidizi wa UDOMSSO Mr. G.Bundala akichomwa sindano wakati akichangia damu
Mwana sosholojia aliyejitokeza pia kuchangia damu.

Kutoka kulia waliokaa ni Rais wa UDOMSSO ndugu James , Makamu wake ndugu Mhava, Kiongozi wa taaluma Hamis Juma na kiongozi wa darasa ndugu Peter.
Kutoka kulia ni kiongozi wa taaluma UDOMSSO Hamis Juma, Makamu wa Rais UDOMSSO ndugu Joseph Mhava, Katibu mkuu UDOMSSO ndugu Stanley Mellack, Rais wa UDOSSO ndugu James Simon wakionesha cheti ilichotunukiwa UDOMSSO. Mwingine ni Dr. Leah.
Hospitalini, kitengo cha damu salama
Ndugu Peter, mwanasosholojia akichangia damu

Rais wa UDOMSO, James Simon akichangia damu
Gerald Bundala, Katibu msaidizi wa UDOMSSO akichangia damu
James Simon (kushoto) na Hamis Juma  (kulia) wakiwa na cheti

 PICHA MBALIMBALI ZA WANA-SOSHOLOJIA WENGINE WALIOJITOKEZA KATIKA TUKIO HILO



 *******************************************************************************

 8th April, 2017.

SOME PHOTOS TAKEN BEFORE AND AFTER THE MATCH BETWEEN FIRST YEAR AND  A COMBINATION OF SECOND AND THIRD YEAR SOCIOLOGISTS ON 8th April, 2017. 
(Click on a photo to zoom)



 
 

No comments:

Post a Comment