Wasichana wawili wanafunzi wa UDOM wamesababisha watu kuzizima kwa kelele na miruzi iliyoambatana na zomeazome baada ya kutaka kutoana ngeu kwa kile kilichotajwa kuwa ni mapenzi. Akina dada hao wakazi wa block 1 college ya Humanities wamejikuta katika kasheshe hilo baada ya kugundua kuwa wanamtumikia Bwana mmoja kinyume na mategemeo yao. Wapasha habari wa tukio hilo wanadai kuwa; Akiwa anajiamini na bila kujua, mmoja wa wanafunzi hao amefika hostel block 6 ambayo inakaliwa na wanaume kwa lengo la kumtembelea mwenzie (mpenzi wake) lakini akastaajabu kumkuta akiwa na msichana mwingine katika mazingira yaliyomtia wasiwasi na kuhisi anaibiwa. Aidha, aliyekutwa naye alijikuta akistaajabu tukio hilo kwani aliamini yuko sehemu salama na peke yake. Uzalendo ulipowashinda walianza kumiminiana maneno makali makali huku
ABOUT UDOMSSO
The University of Dodoma Sociology Students' Organization (UDOMSSO) is an academic and social organization which is under the department of Sociology and Anthropology in the College of Humanities and Social Sciences.
MISSION
Our mission is to Organize, Coordinate and Facilitate all activities relating to our areas of interest for social progress.
VISSION
UDOMSSO has a vission to become an effective students' organization and to spearhead for a positive community for both academic and social matters which affect students' daily life and the community at large.
Translate
Thursday, 18 May 2017
Tuesday, 16 May 2017
WANAFUNZI UDOM WALITEMBELEA BUNGE.
Jumuia ya wanafunzi wanaosoma sosholojia katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOMSSO) wamefanya ziara yao Bungeni ambapo walihudhuria katika kikao cha asubuhi kwanzia saa tatu. Ziara hiyo ambayo ilikuwa na wanafunzi zaidi ya 30 ilipangwa na viongozi wa Jumuiya hiyo na baadhi ya wanafunzi wa shahada ya kwanza kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu walihudhuria.
YANGA YATWAA UBINGWA KWA MARA YA TATU MFULULIZO
Klabu ya soka ya Yanga ya Dar es salaam leo imetwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga klabu ya Toto African ya Mwanza kwa goli moja bila majibu. Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Taifa, zilishuhudiwa timu zote zikicheza soka zuri huku kila mmoja akitambua umuhimu wa mechi hiyo. Wakati Yanga wakitaka kujihakikishia ubingwa, Toto African wao walikuwa wakipambana kufa na kupona ili kuhakikisha wanasalia katika
Tuesday, 9 May 2017
TEMBO WAVAMIA UDOM
Katika hali ya kukashangaza alfajiri ya leo Tembo wamevamia katika maeneo ya chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) na kuzua wasiwasi miongoni mwa wanafunzi na jamii zinazokizunguka chuo hicho. Wakati wakijiandaa kwenda madarasani, baadhi ya wanafunzi walishangaa kuona kundi la tembo wanne wakiwa wanazunguka zunguka katika vichaka vilivyopo maeneo ya UDOM jirani kabisa na hostel za wanafunzi na kutoa taarifa kwa wanafunzi wengine na hivyo kutokea kundi kubwa la wanafunzi waliokuwa wakiwatazama kwa mbali huku wengine wakihofia kuwa tembo hao wanaweza wakazivamia hostel na kuwadhuru wanafunzi au
Monday, 8 May 2017
VILIO NA SIMANZI VYATAWALA WAKATI WA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI WA LUCKY VICENT. MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AWAONGOZA WATANZANIA KATIKA KUIAGA MIILI YA WANAFUNZI HAO.
Hatimaye miili ya wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent waliopoteza maisha kufuatia ajari mbaya sana ya gari iliyokuwa imewabeba wamezikwa. Wanafunzi hao 32, waalimu wawili na dereva wa gari hiyo wameagwa kwa pamoja katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha tukio lililohudhuliwa na idadi kubwa ya waombolezaji.
![]() |
| Miili ya wanafunzi 32, Walimu 2 na dereva 1 ikiwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa ajili ya kuombewa na kuagwa |
endelea......
Tuesday, 2 May 2017
KUFUATIA KUFUNGA NDOA MARA YA PILI; FLORA MBASHA ANAZINI? HUU HAPA WAWEZA KUWA UKWELI.
Pamoja
na kwamba kwa sasa hapendi kuitwa jina la Flora Mbasha na kupendelea aitwe
Madam Flora, ni ukweli usiopingika kwamba wengi watashindwa kuelewa
unamzungumzia nani ukitaja Madam Flora bila kumalizia Mbasha na pengine wapo
watakaofikiri kwamba unamzungumzia mtu mwingine maarufu kama yule wa kipindi
cha Flora show kenye luninga.
Mfuatano wa majina hayo mawili unajenga picha
halisi ya mwanadada huyo maarufu Tanzania na nje ya Tanzania kwa nyimbo za
injiri zinazowagusa wengi kama vile Jipe Moyo, Maisha ya ndoa, Alionewa Yesu,
Unifiche, Fanya njia, Tanzania nakupenda, na nyingine nyingi. Licha
ya umaarufu wake katika nyimbo za injiri, Flora Mbasha ametikisa vichwa vya
watu na ku-make headlines za kutosha katika magazeti mbalimbali Tanzania na
mitandao ya kijamii kutokana na mtikisiko ulioikumba ndoa yake na mumewe wa
awali Emmanuel Mbasha. Mtikisiko huo haukuiacha ndoa hiyo salama kwani uliweza
kusababisha ndoa hiyo kuvunjika mahakamani na kila mmoja kushika hamsini zake
kama wasemavyo vijana mtaani. Pamoja na mengine yanayoweza kuwa sababu ya ndoa
hiyo kuvunjika lakini neno usaliti kwa maana ya uzinzi umezungumzwa sana kwenye
magazeti na mitandao ya kijamii kuwa chanzo kikubwa cha ndoa hiyo kuvunjika
wakihusishwa watu tofauti tofauti huku Askofu Josephat Gwajima akiangaziwa
zaidi na watu mbalimbali.
![]() |
| Flora akifunga ndoa na mumewe mpya Daudi Kusweka |
Emmanuel
Mbasha kwa wakati wake alikaririwa na watu akimtuhumu mkewe Flora kwa kumsaliti
kwa Gwajima huku Flora akikaririwa pia kumtuhumu
Subscribe to:
Posts (Atom)






