1. RIAL ya Iran (Iranian Rial);
Hii ndiyo fedha inayosemekana kuwa na thamani ndogo zaidi duniani kwa mwaka 2018 na hatamiaka ya hivi karibuni. Ukiwa na noti ya Dola moja ya Marekani itakuwa na thamani sawa na zaidi ya 30,000/= (elfu thelathini) za Iran. Hata fedha ya Kitanzania imeiacha mbali kwa thamani kwani ukiwa na shilingi 1,000 tu ya kibongo ni sawa na kitita cha zaidi ya 15,000/= ya Iran. Vita na tishio la silaha za nyukria ulimwenguni kutoka serikali ya Irani , kutiliwa vikwazo vya kiuchumi na kisiasa vinatajwa kuwa ni chanzo cha fedha ya nchi hiyo kuwa na thamani ndogo zaidi.

2. DOBRA ya St. Tome and Principe (Sao Tomean Dobra);
Visiwa hivi viwili vilivyopo Afrika Magharibi fedha yake ni ya pili kwa kuwa na thamani ndogo. Pamoja na fedha yake kuwa na thamani kuliko ile ya Iran lakini bado Dola moja ya Marekani ni sawa na Dobra zaidi ya 22,600/= (elfu ishirini na mbili na mia sita). Pamoja na kusafirisha nje kahawa, cocoa na nazi lakini hii haijasaidia kuimarika kwa thamani ya pesa yao.Kugunduliwa kwa mafuta katika kisiwa cha St. Tome kunatazamiwa kuwa chachu ya kuongezeka thamani ya Dobra hivi karibuni.

Fedha nyingine zenye thamani ndogo duniani (kwa kufuatana) ni pamoja na:-
4.Belarusian Ruble, ambapo Dola moja ni sawa na Rubble 20,846, na 5. Indonesian Rupiah ambayo Dola moja ni sawa na Rupiah 13,873.

No comments:
Post a Comment